Zanzibar CIty
+255777480019
info@colorsofzanzibar.com

Colors of Zanzibar

Certified by Travelife, part of Responsible Tourism Tanzania. Your holiday will make a difference.

Jionee utamaduni wa kizanzibar

Je ungependelea kuufahamu utamaduni wa kizanzibari kwa undani zaidi? Kuna pengi ya kujifunza kama vilie matumizi ya viungo, vyakula, maisha ya vijijini na uzuri wa Mji Mkongwe.

Jionee

Utalii wa nchi kavu na baharini

Kuna mengi ya kujionea na kujifunza juu ya maajabu ya asili ya visiwa vya marashi ya karafuu, baharini na nchi kavu.

Jionee

Covid-19 restricitons in Zanzibar

Zanzibar welcomes travelers from all over the world, but a negative Covid-19 test result is required. Read about this and other Zanzibar Coronavirus information.

Read the article

Sisi ni nani

     Utalii kwa Wote –  Faida kwa kila mmoja wetu

Lengo letu kuu ni kuinganisha jamii yetu na wageni pamoja. Tunashirikiana na jamii kwa kuiwezesha kiuchumi, kijamii na utunzaji wa mazingira..

Tunajivunia umiliki wa kutambulia na kukubaliwa na Travelife.org. Utalii umo ndani ya damu yetu na nia yetu ni kuleta uwelewa katika kijamii, uhifadhi wa mazingira na kiuchumi utakao tufaidisha sote.

Lengo letu

Utalii wa viswani Zanzibar na Tanzania bara kwa ujumla

Tanzania ina vivutio vingi vya kushangaza vikiwemo; hifadhi kubwa za kimataifa, Mlima Kilimanjaro, urithi wa utamaduni na historia ya Mji Mkongwe pamoja na fukwe za bahari, vyote hivi vinasimamiwa na kulindwa, na kutambuliwa na UNESCO.Vile vile vivutio vya Jiji la Dar es Salaam, miji midogo midogo, milima midogo na mengine mengi.

Raha na starehe za nchini Tanzania

Tunatoa huduma kwa Tanzania nzima, Je unahitaji safari na nyumba au hoteli nzuri za kulala wageni? Je unasumbuka kupata tiketi za ndege, mabasi, gari au boti? Usisumbuke, tuko hapa kwa ajili yako!

Tumethibitishwa na kukubaliwa na Travelife

Sisi ndio kampuni pekee iliyothibitishwa na Travelife.org kwa Tanzania nzima. Shauku yetu kubwa ni kuhifadhi na kujivinia uasili wetu wa Tanzania na haki za kijamii. Furaha yako ndio furaha yetu. Tutakupati kile kitu roho inapenda bila kumkera mtu au mila za wengine na kukupa raha bila wewe kuharibu mazingira yoyote.

Sisi ni wanachama wa

Travelife certified
CBI
Travelife certified