Zanzibar City
+255777480019
info@colorsofzanzibar.com

makulati

Vyakula vya kizanzibar 

Ungana nasi katika ziara ya upishi kupitia mitaa ya kihistoria ya Mji Mkongwe

Huku mizunguko ikienedelea pamoja na kupata chakula ile kitu unapenda, utajifunza mengi jinsi ya maisha halisi hapa mji mkonngwe na historia yake. Ukiwa njiani utajionjea matunda na vuburudisho kadhaa na kujionea soko la samaki,kuku na matunda na kumalizia  kunywa kawaha sehemu maarufu famous Jaw’s Corner. kama wewe ni mpishi au mtu anaependa vyakula basi hii kwa ajili yako zaidi. 

Onja Uzanzibari na kufurahia mandhari ya Mji Mkongwe

Ziara hii inakupa muono wa hali juu kuusu Mji Mkongwe huku ukitembea kwa miguu mitaani. 
Utapata; maji, viburudusho, chai/kahawa and hakula ha mchana.

Taarifa zaidi juu ya ziara ya makulati

Wakati ukiendelea na mzunguko na kujionea vyakula vya visiwani vya aina yake, Tutakupeleka sokoni na kujione majengo ya kihistoria na maisha ya kila siku ya Mji mkongwe Vyakula vya kizanaibari asilimia kubwa kinatokana na mimea ambacho ni vizuri pia kwa wale wasiokula nyama,kuku and samaki. Tafadhali wasiliana nasi kama kuna chakula kinachokuzuru.

Nunua Mtandaoni
Bei

Ziara hii ni Tsh 60,000 kwa kila mtu na watu wengine wanaweza kujiunga na ziara hivo ni muhimu kujua kama huko peke yako,  Ziara hii inaandaliwa na Zanzibar Urban Adventures.

Ni nini kinajumuishwa ndai ya bei

Muongozaji mwenye asili ya Zanzibar, Viburudisho,mikate na maandazi, chakula cha mchana, supu, samaki na mboga mboga, urojo, maji, matunda na kahawa au chai.

Taarifa Muhimu

Sehemu ya kukutana: Mlangoni Ngome kongwe saa 13:30.Ukitaka tukipitie hotelini ulipofikia tujuulishe kabla!

Ziara ya makulati itachukua zaidi ya masaa mawili.

Tafadhali tujuulishe kabla kama  una  chakula kinahokudhuru.

Unganisha na Ziara nyengine..

Kama hukufikia mjini basi ni vyema ukaunganisha na ziara yengine kama kutembelea kissiwa cha changuu au Msitu wa Jozani  au kutembelea cha la Viungo.

Uliza tukupatie maelezo zaidi juu ya ziara ya Makulati

Contact form will be displayed here. To activate it you have to set the "contact form shortcode" parameter in Customizer.