Zanzibar City
+255777480019
info@colorsofzanzibar.com

Msitu wa Jozani

Msitu wa hifadh ya jamii Jozani

Matembezi ndani ya msitu wa Jozani

Msitu wa hifadhi ya jamii w Jozani ujuulikanao kwa umaarufu wake wa kuwepo kwa Kimapunju, ambao hupatikana visiwani pekee.  Takriban miaka 20 iliopita, Kimapunju walikua hatarini kutoweka  kabisa duniani. Hali hii imebadilika baada ya kuanzishwa kwa mradai wa kuhifadhi, siku hizi kuna Kimapunju/Nyani wekundu wasiopungua 6000 wanaoishi ndani ya msitu wa  Jozani.

Baada ya kuona Kimapunju, utatembea kwenye daraja la mbao kupitia kwenye mikoko,matawi na mimea mbali mbali, matumbawe ndani ya msitu. Utatembea ndani ya msitu wa bahari ambao ni muhimu sana kwa uhifadhi wa mazingira ambayo pia ni makaazi ya wadudu kama Mijusi, ndege, nyoka wa baharini lakini pia mikoko huhifadhi mmongonyoko wa ardhi. 

Maelezo zaidi kuusu msitu wa Jozani 

Msitu wa Jozani Forest unapatika 38 km kusini mashariki mwa Mji Mkongwe. Mwaka 1995, mradi wa Jozani Chwaka Bay Conservation Project ulianzishwa kuhifadhi na kulinda kiasi kidogo cha msitu kilihobakia. Wakaazi wa maeneo ya karibu na msitu wameshirikishwa zaidi karika mradi  na wanafaidika na sehemu ya kipato kinachopatikana kutokana na malipo ya viingilio kufidia wakulima abao mazao yao yanahabiwa na kima. 

Msitu wa Jozani unawakaazi wa aina nyingi, wakiwemo, Nyoka ukuti, ndege wa aina mbali mbali, mikoko, miti mikubwa ya aina pekee, komba, nguruwe, Panya, swala na chui.

Nunua Mtandaoni
Bei

1 Mtu Tsh 130,000 

2 Watu Tsh 80,000  kila mtu

3 Watu Tsh 70,000 kila mtu

4 Watu Tsh 60,000 kila mtu 

Ni nini kilichojumuishwa ndani ya bei?

Usafiri kutoka Mjini, Viingilio, muongozaji, maji ya kunywa na matunda. Usafari kutoka sehemu nyengine za visiwani utapaswa kushangia zaidi zaidi za usafiri.

Taarifa Muhimu

uwe na viatu vizuri ya kutembea kwa miguu kwa mda mrefu, tunashauri uwe na mavazi yanayofunika hadi miguuni. Muongozaji ataletwa kutoka ofisi za msitu wa hifadhi wa jamii.

Combine with..

Jozani tour is easy to combine with other activities. They would include the nearby butterfly consveration, Spice Tour, Stone Town Tour, Culinary Stone Town, or visit to the famous The Rock restaurant.

Maswali kuhusu ziara ya msitu wa hifadhi ya jami Jozani 

Je ungependa kuunganisha matembezi ya msitu wa Jozani na ziara nyengine au vivutio vyengine? Maswali, bei na mengineo, tafadhali wasiliana nasi tupo tayari kukuhudumia na kujibu  mswali yako!

Contact form will be displayed here. To activate it you have to set the "contact form shortcode" parameter in Customizer.